WAM in Swahili

UAE: Yasaini Makubaliano na Ureno Juu ya Ushirikiano katika Nishati Mbadala, Elimu ya Juu
LISBON, Aprili 28  (WAM) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Falme za
Kiarabu (UAE) Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan alikutana jana
na mwenzake wa Ureno Paulo Portas na kujadili mahusiano baina ya
nchi hizo mbili na jinsi ya kuongeza ushirikiano katika nyanja
zote.

UAE: Wizara ya Mambo ya Nje Yalaani Milipuko ya Kabul
ABU DHABI, Aprili 18  (WAM) - Muungano wa Jumuiya ya Kiarabu (UAE) ulilaani kwa
nguvu zake zote mfululizo wa milipuko ya mabomu ya kigaidi ambayo
yalilipuka katika eneo kuu la kidiplomasia mjini Kabul na miji
mingine mitatu ya Afghanistan na kuua watu 47 na kujeruhi watu
wengine kadhaa.

INDIA-PAKISTAN: Waelekeza Nguvu Katika Kujenga Vitega Uchumi na Mitandao ya Kiuchumi, Linasema Gazeti la UAE
ABU DHABI, Aprili 10  (WAM) - Gazeti katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)
limesema kuwa uboreshwaji wa mahusiano na mazungumzo ya mara kwa
mara kati ya India na Pakistan kutaleta faida kwa nchi zote mbili
na kutaondokana na masuala ambayo yamefanya mchakato huu kuwa
adui kwa miaka mingi sasa.

SYRIA: Nafasi ya Al Assad ya Kusitisha Umwagaji Damu
ABU DHABI, Aprili 5 (WAM) - Uamuzi wa rais wa Syria, Bashar Al Assad wa
kukubali mpango wa amani na kuruhusu timu za wanachama wa Umoja
wa Mataifa kuingia nchini Syria kunampatia fursa nzuri ya
kujaribu na kufufua hali ya kujali kwake haki za binadamu ambayo
ilianza kufifia. Kwa maana hiyo, fursa hiyo isipokelewe kwa
kuendelea kuenea kwa ghasia kabla ya tarehe ya mwisho ya Aprili
10 iliyopangwa kusitisha vita nchini humo, limetoa maoni gazeti
la kila siku katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE).

UAE-SYRIA: Baraza la Biashara lazinduliwa mjini Damascus
DAMASCUS, Des. 28  (WAM) - Baraza la Biashara la Muungano wa Falme za Kiarabu
(UAE) na Syria lilizinduliwa jana jioni mjini Damascus mbele ya
Waziri wa Biashara za Nje wa UAE Sheikha Lubna bint Khalid Al
Qasimim na Naibu Waziri Mkuu wa Syria anayehusika na Masuala ya
Uchumi Abdullah Dardari.

UAE: Wizara ya Elimu yakanusha uhaba wa walimu 800
ABU DHABI, Des. 20  (WAM) - Wizara ya Elimu ya Muungano wa Falme za Kiarabu
(UAE) imekanusha taarifa za vyombo vya habari kuwa kuna uhaba wa
walimu 800 katika shule za serikali nchini.

AJIRA-UAE: Kamati yasaidia mishahara ya wafanyakazi
DUBAI, Des. 17  (WAM) - Kamati ya Migogoro ya Muungano wa Falme za Kiarabu
(UAE) ikiwa inaundwa na Wizara ya Kazi, Idara ya Polisi ya Dubai
na mamlaka nyingine za juu imekuja na ufumbuzi ambao utamaliza
mgomo wa wafanyakazi katika makampuni mawili tofauti katika sekta
ya ujenzi na usalama ambao walisitisha kazi kutokana na
kutokulipwa mishahara kwa kipindi cha miezi minne.

UAE: Viongozi wa GCC wapitisha tamko la kuhitimisha mkutano wa kilele
ABU DHABI, Des. 7  (WAM) - Viongozi wa Baraza la Ushirikiano wa Mataifa ya
Ghuba (GCC) walifanya mkutano wao wa pili wa ndani katika Ikulu
ya Falme za Kiarabu mchana huu chini ya uenyekiti wa Rais wa
Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Khalifa bin Zayed Al
Nahyan na kupitisha tamko la kuhitimisha mkutano ambalo
litatatolewa baada ya mkutano wa ndani wa 31 wa GCC kumalizika.

UAE: Ushirikiano wa kidiplomasia na Mt. Lucia waanza
ABU DHABI, Nov. 30  (WAM) - Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Masuala ya Kigeni
wa Muungano wa Falme za Kairabu (UAE) Anwar Mohammed Gargash jana
alimpokea Stephenson King, Waziri Mkuu wa kisiwa cha Mt. Lucia,
katika Bahari ya Caribbean, na ujumbe alioongozana nao.

UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu lajenga nyumba kwa ajili ya maskini wa Vietnam
HANOI, Nov. 22  (WAM) - Ubalozi wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)
nchini Vietnam umeshaanza kutekeleza mradi wa kujenga nyumba kumi
kwa ajili ya maskini na wenye mahitaji mjini Hanoi.

WANAWAKE: Sayansi ni Msingi wa maendeleo, linasema gazeti la ndani ya nchi
ABU DHABI, Nov. 16  (WAM) - Kwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), sayansi na
fani za utafiti zinatoa fursa kubwa kwa ukuaji na maendeleo ya
kiuchumi. Kutokana na utajiri mkubwa wa taifa hilo katika
rasilimali za elimu na dira yake katika kuendeleza jamii ya
kisasa na yenye maendeleo, wanawake wengi lazima kuhamasishwa
kufuatilia sekta ya sayansi, kulingana na gazeti la Lugha ya
Kiingereza la kila siku.

GHUBA: Umoja wa Kifedha hautawezekana bila UAE
DUBAI, Nov. 8  (WAM) - Nchi ya pili kwa kuwa na uchumi mkubwa katika
Ghuba, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ni eneo muhimu katika
Umoja wa Kifedha na Kuwa na Sarafu Moja katika Baraza la
Ushirikiano la Ghuba (GCC), mkuu wa GCC alithibitisha jana.

UAE: Rais, Makamu Wake Wapeleka Salamu za Rambirambi kwa Rais wa Argentina
ABU DHABI, Okt. 29  (WAM) - Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh
Khalifa bin Zayed Al Nahyan amepeleka salamu za rambirambi kwa
Rais Cristina Fernández de Kirchner wa Argentina kufuatia kifo
cha mume wake, rais wa zamani wa Argentinean, Nestor Kirchner.

UAE: Rais wa Vietnam Ampokea Abdullah Bin Zayed
HANOI, Okt. 23  (WAM) - Rais wa Vietnam Nguyen Minh Triet alimpokea Waziri
wa Mambo ya Kigeni wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh
Abdullah Bin Zayed Al Nahyan na ujumbe alioongozana nao katika
Ikulu ya Hanoi Ijumaa jioni.

UAE: Wizara ya Afya yaandaa mdahalo kuhusu kampeni ya kansa ya matiti
DUBAI, Okt. 13  (WAM) - Wizara ya Afya ya Muungano wa Falme za Kiarabu
(UAE) inaandaa kampeni maalum ya kansa ya matiti wakati wa mwezi
wa Oktoba kama sehemu ya taifa hilo ya maadhimisho dhidi ya
ugonjwa huo.