Inter Press Service News Agency
Friday, February 15, 2019   21:09 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Rais Atangaza Msaada wa Haraka wa Dola Milioni 25 kwa Wapalestina Katika Ukanda wa Gaza
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Julai 11 (WAM) - Chini ya mwongozo wa Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan na Jenerali Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Mfalme wa Abu Dhabi na Naibu Ameri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya UAE, na ufuatiliaji wa Sheikh Hamdan bin Zayed Al Nahyan, Mtawala Mwakilishi wa Ukanda wa Magharibi na Mwenyekiti wa Shirika la Nusu Mwezi la Falme za Kiarabu, Falme zimetenga dola milioni 25 kama msaada wa haraka kusaidia wananchi wa Palestina, ambao wanakabiliwa na mashambulizi makali kutoka kwa Israeli katika Ukanda wa Gaza.

Shirika la Nusu Mwezi la Falme za Kiarabu litasimamia usambazaji wa misaada hiyo, na pia limefahamishwa kujenga hospitali katika Ukanda wa Gaza ili kutoa misaada ya madawa kwa waathirika wa mashambulizi hayo, ambayo yameshaua na kujeruhi idadi kubwa ya watu wasiokuwa na hatia katika eneo hilo.

Msaada huo unathibitisha mshikamano wa kihistoria unaoendelea na kuungwa mkono na uongozi wa UAE, Serikali na watu wa Palestina. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.