Inter Press Service News Agency
Thursday, January 24, 2019   00:09 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Shirika la Ndege la Etihad Lasubiri Kupatiwa Ndege ya 100 na 101
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Julai 1 (WAM) - Shirika la Ndege la Etihad, ambalo linamilikiwa na serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), hivi karibuni ilisherehekea historia kubwa kama shirika la ndege linalokua kwa kasi katika usafiri wa anga, wakati walipopata ndege ya 100 na 101 siku hiyo hiyo.

Ndege ya mia moja ambayo ni aina ya Airbus A321-231 (yenye namba ya usajili A6-AEC), ilikabidhiwa na kampuni ya Airbus Finkenwerder ya mjini Hamburg. Ilipowasili katika Abu Dhabi, ndege hiyo ilikaribishwa na wafanyakazi zaidi ya 500 wa Etihad Airways katika tukio ambalo kulikuwa na upigaji wa picha.

James Hogan, Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Etihad Airways, alisema: "Hii ni siku muhimu sana kwa shirika la ndege ambalo lilizindua operesheni miaka kumi iliyopita. Etihad Airways inaendelea kukua, kustawi na kuongoza katika ubunifu na utoaji wa huduma.

Leo hii, tunarusha ndege ambazo zinatumia teknolojia ya hali ya juu na zinatumia mafuta kidogo, na hivyo kuvutia wateja na kuwa na uhakika wa kuruka." Shirika hilo la ndege kwa sasa linafanya kazi na ndege tatu aina ya Airbus A321s, huku kukiwa na ndege nyingine saba ambazo zimeshaagizwa. Kuletwa kwa ndege aina ya A321 imeunganishwa na kutolewa kwa ndege ya 101, aina ya Airbus A320-200 (yenye usajili namba A6-EIX).

Mwezi Novemba 2013, Etihad Airways iliagiza ndege kubwa kuliko zote katika maonyesho ya biashara ya ndege ya Dubai Airshow yenye thamani ya dola 67 billioni na kufikia ndege 199 na injini 294.

Shirika litapata ndege yake ya kwanza aina ya Boeing 787-9 na Airbus A380 mwezi Oktoba na Disemba. Hii italeta mapinduzi katika shirika la Etihad Airways, ambayo yalianza Mei 4, 2014, ikiwa ni pamoja na kwa mara ya kwanza kuwa na ndege ya anasa yenye vyumba vitatu aina ya A380 ijulikanayo kama "The Residence", ambayo ina vyumba vya kulala, mabafu na vyumba vya vitanda viwili. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.