Inter Press Service News Agency
Friday, February 15, 2019   21:30 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Jumapili ni Siku ya Kwanza ya Mwezi wa Ramadhani Kitaifa
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Jun 28 (WAM) - Baraza la Kufuatilia Mwandamo wa Mwezi katika Falme za Kiarabu (UAE) limetangaza kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan nchini UAE katika mwaka wa Kiislam wa 1435 utaanza Juni 29, 2014.

Hadef bin Jowan Al Dhahiri, Waziri wa Sheria na Mwenyekiti wa Kamati ya Kufuatilia Mwandano wa Mwezi, alisema katika taarifa yake kufuatia mkutano wa kamati hiyo katika Idara ya Mahakama ya Abu Dhabi, alisema kuwa baada ya uchunguzi, matumizi ya sheria za Kiislam zinazohusika, na mawasiliano na nchi jirani, Jumamosi Juni 28, 2014 itakuwa siku ya mwisho ya mwezi wa kalenda ya Kiislam wa Sha'ban mwaka 1435, na hivyo Jumapili Juni 29, 2014 itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Ramadhan.

Waziri Al Dhaheri, akizungumza katika taarifa yake, alimpongeza Rais Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Wajumbe wa Baraza Kuu na Watawala wa Falme za Kiarabu, Jenerali Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Mfalme wa Abu Dhabi na Makamu Ameri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa UAE, na Wafalme wa Falme za Kiarabu katika kuanza kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, na kuomba kwa Mwenyezi Mungu kumpa Sheikh Khalifa bin Zayed afya njema kwa ajili ya nchi yake, Mataifa ya Kiarabu na ya Kiislam.

Waziri Al Dhaheri aliwapongeza pia watu wa UAE na Waislam wote ulimwenguni kwa ajili ya kufunga kwao katika mwezi huu. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.