Inter Press Service News Agency
Friday, February 15, 2019   21:11 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
FNC Yapitisha Rasimu 3 za Sheria za Shirikisho
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Jun 18 (WAM) - Baraza la Shirikisho la Taifa (FNC) katika Falme za Kiarabu (UAE) jana lilifanya mkutano wa 16 wa sura ya 15 ya bunge chini ya uenyekiti wa Spika wake Mohammed Ahmed Al Murr.

FNC ilipitisha rasimu 3 za sheria za shirikisho baada ya kuzifanyia marekebisho na kuongeza vifungu katika sheria hizo. Sheria hizo ni: rasimu ya sheria ya kufanyia marekebisho jina la Mamlaka ya Usafiri ya Taifa, rasimu ya sheria ya kufanyia marekebisho baadhi ya vifungu vya sheria ya shirikisho na. 8 ya mwaka 2008 kuhusu amri, medani na mapambo ya kijeshi na rasimu ya sheria ya shirikisho kuzuia matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu yaliyopigwa marufuku katika mbio na michezo yote ya farasi.

Wajumbe wa FNC waliuliza maswali saba kwa wawakilishi wa serikali yanayohusiana na maeneo yanayowahusu.

Waliohudhuria katika kikao hicho ni pamoja na Dk. Rashid Ahmed bin Fahad, Waziri wa Mazingira na Maji na Dk. Maitha Salem Al Shamsi, Waziri wa Nchi na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Ndoa. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.