Inter Press Service News Agency
Friday, February 22, 2019   20:55 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Vijana Waitikia Wito wa Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Jun 9 (WAM) - Gazeti katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) limesema kuwa inatia moyo kuona kuwa kumekuwa na mwitikio chanya kwa vijana wa Falme za Kiarabu wakati wa mafunzo ya lazima ya muda mfupi ya Jeshi la Kujenga Taifa yaliyoendeshwa na vikosi vya ulinzi vya UAE na kutolewa kwa vijana wote wa kiume na kwa hiari kwa vijana wa kike.

"Yamechukuliwa na vijana wa Falme za Kiarabu kama fursa ya kuilipa nchi yao na pia kujenga rasilimali ya taifa ambayo serikali itaitegemea katika siku zijazo," lilisema gazeti la ‘Gulf News’ katika tahariri yake.

Mchakato wa kubadili wazo hili kutoka nadharia na kulitekeleza kivitendo umekuwa wa muda mfupi sana. Sheria inayowezesha kuanzishwa kwa jeshi la kujenga taifa ilisainiwa na Rais Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, na itaanza kutumika katika kipindi cha miezi sita ijayo.

Mafunzo ya jeshi la kujenga taifa yatakuwa muhimu kwa wananchi wote wa Falme za Kiarabu, ambao wataishi na kufanya kazi pamoja katika vikosi vya ulinzi na usalama bila kujali vikwazo vya kitabaka, ufalme unaotoka na familia unayotoka.

"Kuunganishwa kwa aina hii kutakuwa muhimu sana kwa nchi kwani kutaongeza kutambuliwa kwa utaifa wa wananchi wa taifa la UAE, kuhamasisha uzalendo wao na kujipambanua kwa nchi na serikali katika hali ambayo ni chanya zaidi," lilihitimisha gazeti hilo. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.