Inter Press Service News Agency
Wednesday, January 16, 2019   18:22 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Mahakama ya Juu ya Shirikisho Yasikiliza Kesi ya al-Qaeda
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Jun 2 (WAM) - Chombo cha Usalama wa Ndani cha Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Mahakama ya Juu ya Shirikisho, chini ya uenyekiti wa Jaji Falah Al Hajeri, kimesikiliza leo hii kesi ya watuhumiwa wa kujiunga na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda, kuanzisha maficho ya kujichimbia na kufadhili mtandao wa kigaidi wa al-Nusra Front.

Idara ya mashitaka ya serikali imetaka kutolewa kwa adhabu stahiki kwa watuhumiwa.

Jaji wa kesi hiyo alisema kuwa taarifa za kitabibu zinaonyesha kuwa watuhumiwa hawakujeruhiwa au kupata mateso yoyote yale.

Nane kati ya watuhumiwa tisa, wote wakiwa raia wa nchi za Kiarabu, walijitokeza mahakamani mbele ya uwepo wa baadhi ya ndugu zao, wawakilishi wa vyombo vya habari na mashirika ya kiraia, ikiwa ni pamoja na mwakilishi wa Ubalozi wa Tunisia.

Mahakama iliahirisha kesi hiyo hadi Jumatatu ili kusikiliza upande wa wanasheria wa utetezi wanne katika kesi hiyo.

Mmoja kati ya watuhumiwa 9 ameachiwa huru. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.