Inter Press Service News Agency
Wednesday, September 19, 2018   22:00 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Shirika la Nusu Mwezi Lapeleka Magari 12 ya Shehena za Misaada kwa Wakimbizi wa Syria Nchini Jordan
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Mei 16 (WAM) - Shirika la Misaada la Nusu Mwezi (RCA) katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lilisema siku ya Ijumaa kuwa limepeleka magari 12 ya misaada ya kibinadamu ya jumla ya tani 40 za dengu kwa wakimbizi wa Syria nchini Jordan.

Hadi sasa, shirika hilo kubwa kuliko yote la misaada ya kiutu katika UAE limeshapeleka tani 3,600 za misaada katika magari 185 kwenda kwenye makambi ya wakimbizi mpakani mwa Jordan na Syria, alisema Humaid Rashid Al Shamsi, Kaimu Katibu Mkuu Msaidizi wa Misaada ya Kimataifa katika RCA, huku akiongeza kuwa misafara ya shirika hilo ni sehemu ya operesheni za kiutu za UAE zinazoendelea kwa sasa ambazo zinalenga makumi kwa maelfu ya raia wa Syria ambao wameyakimbia makazi yao kutokana na vita nchini mwao.

RCA inasema kuwa misafara yake ya misaada kwenda kwa wakimbizi wa Syria nchini Jordan ilibeba shehena za nguo, chakula na misaada ya madawa, kwenda kwa wakimbizi katika kambi ya Mrajeeb al-Fohoud huko Azraq, kambi ya Zaatari huko Mafraq na katika maeneo mengine, kwa uratibu kwa Ubalozi wa UAE mjini Amman. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.