Inter Press Service News Agency
Tuesday, September 25, 2018   00:22 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Tuzo ya Kuhamasisha Matumizi ya Kiarabu ni Hatua katika Wakati Muafaka
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imeletwa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Mei 9 (WAM) - Vizazi vipya vya Falme za Kiarabu vinahitaji kuunga mkono lugha yao kama ilivyokuwa vizazi vya zamani, gazeti la kila siku la Falme ya Kiarabu (UAE) lilisema.

Gazeti la kila siku la lugha ya Kiingereza la 'Gulf News' lilisema katika tahariri yake ya leo kuwa kila jitihada ya kuhifadhi urithi na mila za UAE zinajenga kasi ambayo inazidi kuongezeka.

"Kuanzishwa kwa Tuzo Mpya ya Lugha ya Mohammad Bin Rashid itatolewa na kuhamasisha mchango maalum kwa lugha ya Kiarabu." Ikizinduliwa Jumatano na Shehe Mohammad Bin Rashid Al Maktoum, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wa UAE na Mtawala wa Dubai, jukumu lake katika kuimarisha historia ya utamaduni wa UAE tayari limeanza kuonekana. Dhana ya tuzo hiyo inahusisha kila kitu na kutokana na kuwakilisha nyanja mbalimbali itafanya kazi ya kukuza matumizi ya lugha ya Kiarabu katika maisha ya umma, kukuza kazi za utafiti na kusambaza urithi wa lugha ya Kiarabu.

"Tuzo ya kila mwaka yenye aina 10 za tuzo, inaonyesha uwezo wa jamii za chini kuhamasisha na kukuza upenyaji katika ngazi mbalimbali wa utamaduni wa taifa hilo. Lugha iko katikati mwa utambulisho wa nchi na thamani yake ya kweli inapimwa kwa jinsi inavyoweza kutangaza urithi wakati huo huo ikizingatia maendeleo ya kisasa. Vizazi vipya vya Falme za Kiarabu vinahitaji kuwa waungaji mkono wa dhana hiyo kama vizazi vilivyopita na tuzo hii imetolewa kujenga daraja la siku zote kati ya vizazi vilivyopita na vya sasa," liliongeza gazeti hilo. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.