Inter Press Service News Agency
Monday, July 23, 2018   14:54 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Maonesho ya Vitabu ya Kimataifa ya Abu Dhabi Yatenga Jumatatu Asubuhi kwa Ajili ya Wanawake na Watoto
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imeletwa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Mei 3 (WAM) - Waandaaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Abu Dhabi (ADIBF) katika Falme za Kiarabu (UAE) yametenga siku ya asubuhi Jumatatu, Mei 5 kwa ajili ya wanawake na watoto, katika kujaribu kupunguza idadi ya washiriki wa maonesho katika Kituo cha Moenesho ya Kitaifa cha Abu Dhabi, ambayo kwa sasa yanatarajiwa kufanyika hadi Mei 5

Siku mbili za ufunguzi wa maonesho hayo zimeshuhudia kiwango kikubwa cha wateja ambao wamefaidika kwa kuwepo kwa zaidi ya wachapishaji 1,125 kutoka mataifa ya Kiarabu na kimataifa kutoka nchi 57, wakiwakilisha vitabu vipatavyo 500,000 katika lugha 33.

Waandaji wa Maonesho hayo, Mamlaka ya Utalii na Utamaduni ya Abu Dhabi (TCA Abu Dhabi) wanashauri kuwa wanawake na watoto chini ya miaka 15 watakuwa na muda wao maalum wa kuingia kwenye kituo cha maonesho kati ya saa 3 asubuhi na saa 8 mchana. Wanafunzi wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 15 wataruhusiwa kwenye maonesho kuanzia saa 8 mchana wakiwa pamoja na washiriki wengine wanaume na kuendelea katika siku nzima.

Maonesho ya Vitabu ya Kimataifa ya Abu Dhabi yanawakilisha vitabu vya hivi karibuni zaidi vya mtandaoni kwa ajili ya watoto na vijana na yanaweka kipaumbele maalum kwa familia na watoto, ambapo kuna kila aina ya shughuli zinazoendelea, warsha, maonesho ya wanasanaa na matukio mengine mengi ya kielimu. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.