Inter Press Service News Agency
Wednesday, September 19, 2018   22:08 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Rais wa Uruguay Ampokea Abdullah bin Zayed
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

MONTEVIDEO, Aprili 29 (WAM) - Rais Jose Mujica wa Jamhuri ya Uruguay amempokea Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Montevideo.

Wakati wa mkutano huo, Sheikh Abdullah alifanya mikutano na Rais Jose Mujica wa Uruguay, na kuitakia nchi hiyo mafanikio makubwa na ustawi wa watu wake.

Sheikh Abdullah pia alielezea umuhimu wa mahusiano baina ya nchi hizo mbili na jinsi ya kukuza mahusiano hayo katika Nyanja zote.

Kwa upande wake, Rais Mujica alimtaka Waziri wa Mambo ya Nje wa UAE kupeleka salamu za rais wa Uruguay kwa Rais wa taifa hilo la Kiarabu, akisisitiza nia ya nchi yake ya kuimarisha mahusiano na Falme za Kiarabu.

Wakati wa mkutano huo walipitia mahusiano baina ya nchi hizo mbili na jinsi ya kuyaimarisha ikiwa ni pamoja na kujadili idadi ya masuala kadhaa wanayoweza kushirikiana. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.