Inter Press Service News Agency
Saturday, June 23, 2018   07:06 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Gazeti Lapongeza Sheria Kuunga Mkono Biashara Ndogo Ndogo
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Aprili 15 (WAM) - Gazeti katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) limesema kuwa kuna mamia kwa maelfu wa raia wa Falme za Kiarabu ambao wanakaribia kuingia katika soko la ajira miaka 10 ijayo, na watakuwa wakitafuta ajira ambazo zinazalisha na ambazo zinaridhisha na kuweza kuwapatia mafanikio.

"Kwa hali hiyo, ni muhimu kusaidia biashara ndogo ndogo na za kati nchini humo na jambo hili ni la msingi katika sheria ya hivi karibuni ya biashara ndogo ndogo," lilisema gazeti la ‘Gulf News’ katika tahariri yake.

Sheria mpya imewawezesha wajasiriamali wa Falme za Kiarabu kwa kuwapatia mikopo na kufikia sekta za fedha, kusaidia soko na kupunguza ushuru wa leseni, ikiwa ni pamoja na kusaidia mafunzo na kujenga uzoefu wa kibiashara ambao nchi inauhitaji.

Pia kuwa na ujuzi wa kibiashara kama vile kuchunguza soko linalokua na kupeleka bidhaa sokoni bila ya kupata hasara. Lakini sheria mpya inatoa msaada wa aina mbalimbali, jambo ambalo ni muhimu sana kwa wafanyabiashara wote wadogo na wa kati (SMEs), hasa katika miaka ya kuanza kwake.

"UAE ina utajiri wa watu wenye vipaji, na kuzidi kuongezeka kwa tabaka la kati ambako ndiko biashara nyingi mpya huanzia, nah ii ndiyo sababu sheria ni muhimu," lilihitimisha gazeti hilo. (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.