Inter Press Service News Agency
Monday, July 23, 2018   14:47 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Mfuko wa Khalifa Kutoa Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi Yake
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Aprili 10 (WAM) - Mfuko wa Kuendeleza Ujasiriliamali wa Khalifa katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) upo katika mchakato wa kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi iliyopo chini ya Mfuko huo na kuhusu mchango wake katika uchumi wa sekta isiyokuwa ya mafuta, hii ni kwa mujibu wa Abdullah Saeed Al Darmaki, Ofisa mtendaji mkuu wa mfuko huo.

Al Darmaki alibainisha kuwa Mfuko huo umezindua 'Mpango wa Hesabat' mwaka jana na uliweza kukamilisha mchakato wa kuingiza miradi 122 katika mpango huo na kutoa taarifa za kifedha za mara kwa mara za miradi inayofadhiliwa na Mfuko wa Khalifa.

Katika hotuba yake ya tukio la 6 la Tawasul ambalo lilifanyika jana Jumanne huko Al Ain, alitarajia kuwa idadi ya miradi inayofaidika na Mpango wa Hesabat itakuja kufikia 220 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Kwa upande wake, Ibrahim Ahmed Al Mansouri, ofisa uendeshaji mkuu wa Mfuko wa Khalifa, alisisitiza umuhimu wa Mpango wa Hesabat wenye lengo la kutoa taarifa za kiukaguzi za kifedha kwa miradi yote chini ya Mfuko.

Aliongeza kuwa ni sehemu ya jitihada za Mfuko za kutumia programu za juu za kifedha kwa ajili ya miradi yote. Pia alisisitiza juu ya umuhimu wa kusajili Chanzo cha Taarifa cha Mfuko wa Khalifa ili kupata faida za huduma zake.

"Mfuko utaendeleza jitihada zake za kujenga mazingira yanayofaa kwa biashara ili kuendeleza sekta ya biashara ndogo na za kati nchini kote kuwezesha timu ya Mfuko kuwekeza nguvu zaidi katika kuwa na uwezo wa kushindana kwa miradi hiyo ili kusaidia kushiriki katika soko la ndani," aliongeza Al Mansouri.

"Mfuko unaendelea na jitihada zake za kushawishi serikali, sekta inayoshirikiana na serikali na biashara ndogo na za kati juu ya baadhi ya faida ambazo zitasaidia kuboresha sekta hizo na kusaidia mafanikio yake. Mfuko huo umesaini makubaliano na zaidi ya asasi 40 mjini Abu Dhabi. Hata tuliweza kupokea maoni mengi chanya na ushirikiano kutoka asasi za serikali. Bado tunatarajia kupata vifaa zaidi na faida kwa ajili ya biashara ndogo na za kati kama vile kusajili rikodi zao za usambaji, misamaha kutokana na kutoa uhakika wa kuwa na hitimisho bora, na kupunguza zabuni zenye gharama kwa ajili ya wanachama wa Mfuko wa Khalifa ili kuongeza ushindani. Kwa kuongeza, mafanikio na maendeleo ya miradi inayofadhiliwa na Mfuko yanawakilisha kufanikiwa kwa mikakati na mipango ya soko ya Mfuko huo." (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.