Inter Press Service News Agency
Tuesday, September 25, 2018   00:54 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   DEUTSCH
   ITALIANO
   NEDERLANDS
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

PALESTINA:
Kuwait Yatoa Dola za Kimarekani 500,000 kwa ajili ya ILO Katika Maeneo Yanayokaliwa na Walowezi
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

GENEVA, Aprili 1 (WAM) - Kuwait imetoa msaada wa dola za Kimarekani 500,000 kwa Shirika la Kazi Ulimwenguni (ILO) kusaidia katika mpango wake wa "Ajenda ya Kazi Zenye Utu'" katika maeneo yanayokaliwa na Walowezi ya Palestina.

Jamal Al-Ghunaim, Balozi wa Ubalozi wa Kudumu wa Kuwait katika Umoja wa Mataifa, alitoa mchango huo kwa Mkurugenzi wa Kikanda wa ILO katika Ukanda wa Mataifa ya Kiarabu, Nada Al-Nashef, pembezoni mwa mkutano wa pande tatu uliofanyika hivi karibuni katika Ofisi ya ILo mjini Geneva, Uswis.

Shirika la Habari la Kuwaiti lilitoa taarifa kutoka kwa Al-Nashif, ambapo alipongeza msaada mkubwa wa Kuwait kwa ILO na maeneo yanayokaliwa na walowezi katika Palestina, akiongeza kuwa mchango huu wa karibuni zaidi unawezesha ILO kuimarisha msaada wake wa kiufundi kwa maeneo ya Palestina chini ya mwamvuli wa mpango mpya wa Kazi Zenye Utu kwa lengo la kukuza haki za kikazi na utawala, kuimarisha ajira na fursa za kujiongezea kipato, na kukuza wigo wa mfumo wa pensheni na ulinzi wa kijamii. (WAM) (END/2014) (END/2014)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Dubai Yaahidi Kudhibiti Uchafuzi wa Mazingira Unaosababishwa na Kelele
UAE: Mfuko wa Khalifa Wandelea Kusambaza Misaada kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao Nchini Iraq
UAE: Shirika la ERC Lasambaza Msaada wa Dharula kwa Wakazi wa Jiji la Sheikh Zayed, Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
UAE: Shirika la Ndege la Emirates Lazindua Safari za Moja kwa Moja kwenda Brussels
UAE: Mkataba wa Makubaliano na Umoja wa Mataifa Wasainiwa Kukarabati Jengo Namba 17 katika Makao Makuu ya Geneva
UAE: Msaada wa Dharula kwa Watu Walioyakimbia Makazi yao katika Eneo la Kurdistan Nchini Iraq
UAE: Makamu wa Rais Mohamed bin Zayed Amtakia Mafanikio Mema Waziri Mkuu Mteule wa Iraq
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu la Falme za Kiarabu Lasaidia Familia za Wakimbizi wa Gaza Kurejea Nyumbani
UAE: Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu Latoa Misaada zaidi kwa Raia wa Gaza Walioyakimbia Makazi Yao
UAE: GWU, FAO Wasaini Mkataba wa Makubaliano wa Kuwezesha Wanawake Katika Kilimo
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT: Nous devons penser autrement à la "sécurité"
AUSTRALIE: Le port de Newcastle bloqué par les Guerriers du changement climatique
IRAN: L’examen d’un document clé à l’AIEA suggère un coup d’Israël
PAKISTAN: Les Ahmadis confrontés à la mort ou à l’exil
ETATS-UNIS: Le budget de la défense peut accroître alors que le public est fatigué de la guerre
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
XML error: The element 'html' is used but not declared in the DTD/Schema.