IPS Inter Press Service - Independent News
   Inter Press Service News Agency
Saturday, February 04, 2012   11:23 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   ČESKY
   DEUTSCH
   ITALIANO
   JAPANESE
   MAGYAR
   NEDERLANDS
   POLSKI
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
Readers Opinions
UAE-SYRIA : Baraza la Biashara lazinduliwa mjini Damascus
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
DAMASCUS, Des. 28 (WAM) - Baraza la Biashara la Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Syria lilizinduliwa jana jioni mjini Damascus mbele ya Waziri wa Biashara za Nje wa UAE Sheikha Lubna bint Khalid Al Qasimim na Naibu Waziri Mkuu wa Syria anayehusika na Masuala ya Uchumi Abdullah Dardari.

UAE : Wizara ya Elimu yakanusha uhaba wa walimu 800
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
ABU DHABI, Des. 20 (WAM) - Wizara ya Elimu ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) imekanusha taarifa za vyombo vya habari kuwa kuna uhaba wa walimu 800 katika shule za serikali nchini.

AJIRA-UAE : Kamati yasaidia mishahara ya wafanyakazi
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
DUBAI, Des. 17 (WAM) - Kamati ya Migogoro ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ikiwa inaundwa na Wizara ya Kazi, Idara ya Polisi ya Dubai na mamlaka nyingine za juu imekuja na ufumbuzi ambao utamaliza mgomo wa wafanyakazi katika makampuni mawili tofauti katika sekta ya ujenzi na usalama ambao walisitisha kazi kutokana na kutokulipwa mishahara kwa kipindi cha miezi minne.

UAE : Viongozi wa GCC wapitisha tamko la kuhitimisha mkutano wa kilele
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
ABU DHABI, Des. 7 (WAM) - Viongozi wa Baraza la Ushirikiano wa Mataifa ya Ghuba (GCC) walifanya mkutano wao wa pili wa ndani katika Ikulu ya Falme za Kiarabu mchana huu chini ya uenyekiti wa Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan na kupitisha tamko la kuhitimisha mkutano ambalo litatatolewa baada ya mkutano wa ndani wa 31 wa GCC kumalizika.

UAE : Ushirikiano wa kidiplomasia na Mt. Lucia waanza
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
ABU DHABI, Nov. 30 (WAM) - Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Masuala ya Kigeni wa Muungano wa Falme za Kairabu (UAE) Anwar Mohammed Gargash jana alimpokea Stephenson King, Waziri Mkuu wa kisiwa cha Mt. Lucia, katika Bahari ya Caribbean, na ujumbe alioongozana nao.

UAE : Shirika la Nusu Mwezi Mwekundu lajenga nyumba kwa ajili ya maskini wa Vietnam
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
HANOI, Nov. 22 (WAM) - Ubalozi wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Vietnam umeshaanza kutekeleza mradi wa kujenga nyumba kumi kwa ajili ya maskini na wenye mahitaji mjini Hanoi.

WANAWAKE : Sayansi ni Msingi wa maendeleo, linasema gazeti la ndani ya nchi
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
ABU DHABI, Nov. 16 (WAM) - Kwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), sayansi na fani za utafiti zinatoa fursa kubwa kwa ukuaji na maendeleo ya kiuchumi. Kutokana na utajiri mkubwa wa taifa hilo katika rasilimali za elimu na dira yake katika kuendeleza jamii ya kisasa na yenye maendeleo, wanawake wengi lazima kuhamasishwa kufuatilia sekta ya sayansi, kulingana na gazeti la Lugha ya Kiingereza la kila siku.

GHUBA : Umoja wa Kifedha hautawezekana bila UAE
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)
DUBAI, Nov. 8 (WAM) - Nchi ya pili kwa kuwa na uchumi mkubwa katika Ghuba, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ni eneo muhimu katika Umoja wa Kifedha na Kuwa na Sarafu Moja katika Baraza la Ushirikiano la Ghuba (GCC), mkuu wa GCC alithibitisha jana.

 

 

Next >>

 
English Version
Versión en español
Version em português
Japanese Version
 WAM News in English
News in RSS
SYRIA: Moscow Has Real Power to Curb Bloodshed of Innocents, Says UAE Paper
UAE: RCA to Promote National Heritage in Japan
UAE: President Issues Law Abolishing Old Law on Federal Health Authority
MIDDLE EAST: US$180 billion Injected into 113 New Power, Water, Energy Projects
UAE: ADNOC Announces Crude Prices for January 2012
More >>
 IPS News in Swahili
News in RSS
SUDAN KUSINI: Wanawake Walenga Kulinda Haki Zao Katika Taifa Changa
‘Fanyieni Kazi Mazungumzo ya Busan’
Clinton Ahimiza Ajenda ya Jinsia Huko Busan
‘Hakuna Lolote Kutoka Busan kwa Wanawake na Watoto wa Afrika’
‘Hakuna Lolote Kutoka Busan kwa Wanawake na Watoto wa Afrika’
More >>
 Latest News from Africa
News in RSS
Chinese Feed Illegal Ivory Trade
DEVELOPMENT-NIGER: Three Million Children Threatened by Hunger
Social Media Saved Africa's Oldest Community Station
Malawi's Consumers Have a Right to Fuel and Forex Black Market
WEST AFRICA: Water Shortage Threatens Wildlife
Kenyan Chief Tweets His Way to Reducing Crime
POLITICS-SENEGAL: Violence After Validation of Wade Candidacy
Radio Static for Ghana's Community Stations
UGANDA: Using Community Radio to Heal After Kony's War
SIERRA LEONE: Government Online Mining Database to Increase Transparency
More >>