Inter Press Service News Agency
Tuesday, February 09, 2010   14:54 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   SVENSKA
   ITALIANO
   DEUTSCH
   SWAHILI
   NEDERLANDS
   ARABIC
   SUOMI
   PORTUGUÊS
   JAPANESE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

Usawa:
Sauti za wanawake zilikuwa na uzito
Na Zarina Geloo

NAIROBI, Januari 25 (IPS) - Vuguvugu la wanawake lilikuwa na sauti nzito wakati wa mkutano wa 2007 wa Nairobi kuliko ilivyokuwa kwenye kongamano nyingine ambazo zimekuwa zikifanya juhudi kuhusisha maswala yake na mambo mengine. Amesema jana Fatma Aloo ambaye pia ni mwanachama wa kamati ya Kongamano linaloangazia aswala ya kijamii.

Aloo ambaye pia ni Afisa mwanachama wa ngazi ya juu wa FEMNET, aliambia mkutano wa Wanahabari siku ya Jumatano kwamba, sauti za wanawake barani Afrika ilikuwa na uzito mkubwa na wazi wakati wa kongamano hili.

''Tofauti na ilivyokuwa kwenye mikutano mingine ambapo sauti zetu zilidhalilishwa na mivumo ya makundi mengine yenye uzito, hapa Nairobi, tulikuwa na zito mkubwa. Tulikuwa na waakilishi kutoka kila pembe, tuliweza kuhusisha maswala yetu na mambo mengine kama vile ardhi, maji na Afya, na muhimu sana, hatukujadili kuhusu kubadilishwa. Tulishauriana na makundi mengine ambayo hayakuwa na utaratibu wa agenda katika kazi zake.''

Aloo, kutoka taifa la Tanzania alisema kumekuwa na mazungumzo mengi na wakati umefika kuonyeshwa kwa vitendo ''Ni lazima tujiondoe kutoka mashirika yasiyo ya kiserikali na kuwa watendaji.

Kwa sasa, tumefahamu tunachofaa kutenda na jinsi ya kukitenda. Sasa, ni lazima tuchukue hatua za kutenda kisha turudi nyuma na kuripoti maendeleo tuliyopata'' Alisema vuguvugu na makundi yote yataondoka jijini Nairobi yakiwa na mpango wa utekelezaji ambao utatekelezwa kitaifa na kimaeneo.

Wahu Kaara kutoka kitengo kinachohamasisha jamii cha WSF 2007 alisema mashirika yanayohudu nyanjani nchini Kenya yalikuwa yameimarishwa.

''Labda hili ni kongamano la kipekee watakalohudhuria kwani liko katika eneo lao na wametumia nafasi yote ipasavyo.

Walifafanua vyema visa vyao, wakatangamana na makundi mengine na kubuni mtandao thabiti ambao utawapeleka mbali hata baada ya mkutano,'' akasema Kaara.

Alisema mazungumzo kuhusu wanawake katika maeneo yanayokabiliwa na vita hasa Somalia na Darfur yalikuwa ya kuvunja moyo kwani akina mama wengi aliaothiriwa na mapigano hawakuweza kuhudhuria na kusimulia visa vyao. Hata hivyo, maswala yao yalijadiliwa na makundi yenye mshikamano yaliyokuwa yakifanya kazi maeneo hayo. (END/2007)

 

 
 Latest News from Africa
News in RSS
BIODIVERSITY: Companies Push Hard to Halt Tuna Collapse
ETHIOPIA: Dam Critics Won't Go Away
ENVIRONMENT: Keeping Wetlands from Becoming Wastelands
UGANDA: Early Diagnosis of HIV Still Elusive
KENYA: Insuring Pastoralists Against Increasing Risks
EGYPT: Minimum Wage Not Enough
SUDAN: Bashir May Face Genocide Charges
KENYA: Victory for Anti-Abortion Lobby
POLITICS-SUDAN: Security Essential to Ensure Peaceful Elections
NIGERIA: No Oil Company Will Know Peace in the Creeks
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
BIODIVERSITY: Companies Push Hard to Halt Tuna Collapse
ETHIOPIA: Dam Critics Won't Go Away
ENVIRONMENT: Keeping Wetlands from Becoming Wastelands
UGANDA: Early Diagnosis of HIV Still Elusive
KENYA: Insuring Pastoralists Against Increasing Risks
A lire également>>
 News in Swahili
News in RSS