Inter Press Service News Agency
Tuesday, February 09, 2010   14:52 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   SVENSKA
   ITALIANO
   DEUTSCH
   SWAHILI
   NEDERLANDS
   ARABIC
   SUOMI
   PORTUGUÊS
   JAPANESE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

NGUZU ZA WATU:
Kutumia Michoro
Na Martin Adhola

NAIROBI, Januari 23 (IPS) - Mbinu za hapo awali za kutumia michoro kuwasiliana na kutoa hisia zimefufuliwa tena. Vijana kutoka mataifa sita ambayo ni Kenya, frika Kusini, Colombia, Switzerland, Tanzania na Mozambique walitumia mbinu za hapo kale kuwasiliana kuhusu hisia zao za ndani, kupasha ujumbe kuhusu Ukimwi, amani, kuwezesha na maendeleo.

Huku wakiandaa onyesho lao la kwanza wakati wa mkutano unaongazia maswala ya kijamii, vijana hao wanaohudumu chini ya aegis of The Terres des Homes hweiz, ambalo ni shirika la maendeleo la Uswizi walisema waliamua kutumia mbinu za jadi za mawasiliano ili kupitisha ujumbe wao.

Raisa Bonjour kutoka Uswizi alisema hii ilikuwa mbinu ya kipekee ya kuwasiliana kuonyesha hisia za ndani: ''Ni chombo muhimu kwa vijana kuwasiliana baina ao ili kuelezea hali mbali mbali wanazopitia kila siku''. Ikiwa imetumika kutoka michoro ya mawe ya zamani Barani Afrika, michoro hii imechapwa urembo kwa kutumia rangi na nta (batiki) hali ambayo bali na kudhihirisha teknolojia inadumisha njia za mawasiliano.

Irene Bush ambaye ni Mkurugenzi alisema mradi ulifaulu kuwashirikisha vijana: ''Michoro tunayoiona siku hizi ni taarifa muhimu kuhusu maisha ya vijana''.

Vijana hao 12 walitoa taswira kuhusu yaliyopita, yaliyomo na yanayotarajiwa kuhusiana na sanaa ya uchoraji. Bw. Robert Ngatia kutoka mradi wa pamoja wa Kasarani (Kasarani Intergrated Programme) alisema ''hiki ni chombo rahisi na muhimu cha kuwasiliana ambacho kinaweza kuimarishwa na vijana ili kuwasilisha ujumbe kuhusu wanavyojihisi na wakati huo kutoa hisia zao za ndani''. (END/2007)

 

 
 Latest News from Africa
News in RSS
BIODIVERSITY: Companies Push Hard to Halt Tuna Collapse
ETHIOPIA: Dam Critics Won't Go Away
ENVIRONMENT: Keeping Wetlands from Becoming Wastelands
UGANDA: Early Diagnosis of HIV Still Elusive
KENYA: Insuring Pastoralists Against Increasing Risks
EGYPT: Minimum Wage Not Enough
SUDAN: Bashir May Face Genocide Charges
KENYA: Victory for Anti-Abortion Lobby
POLITICS-SUDAN: Security Essential to Ensure Peaceful Elections
NIGERIA: No Oil Company Will Know Peace in the Creeks
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
BIODIVERSITY: Companies Push Hard to Halt Tuna Collapse
ETHIOPIA: Dam Critics Won't Go Away
ENVIRONMENT: Keeping Wetlands from Becoming Wastelands
UGANDA: Early Diagnosis of HIV Still Elusive
KENYA: Insuring Pastoralists Against Increasing Risks
A lire également>>
 News in Swahili
News in RSS