IPS Inter Press Service - Independent News
   Inter Press Service News Agency
Tuesday, February 09, 2010   14:54 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   SVENSKA
   ITALIANO
   DEUTSCH
   SWAHILI
   NEDERLANDS
   ARABIC
   SUOMI
   PORTUGUÊS
   JAPANESE
Readers Opinions
Q&A : ‘Nishati ya Nyuklia Siyo Ufumbuzi wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa’
Neena Bhandari anamhoji DK SUE WAREHAM, mpinzani wa matumizi ya nyuklia duniani
MELBOURNE, Feb 8 (IPS) - Wakati tishio la silaha za nyuklia likizidi kuhatarisha maisha ya watu duniani, Dk Sue Wareham, mjumbe wa bodi wa Autralia wa Kampeni ya Kimataifa ya Kukomesha Matumizi ya Silaha za Nyuklia (ICAN), anatoa wito wa kukomeshwa kwa haraka kwa silaha hizo na kukataa nishati ya nyuklia kuwa ufumbuzi wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

SIASA : Suala la "Wewe Kwanza"Katika Kuzuia Umilikaji wa Silaha za Nyuklia
Uchambuzi na Haider Rizvi
UMOJA WA MATAIFA, Feb 8 (IPS) - Ni utata unaoendelea juu ya mpango wa nyuklia wa Iran unaosaidia kuendeleza ajenda ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuzuia umilikaji wa silaha za nyuklia? Kwa idadi kadhaa ya wanadiplomasia na wataalam ambao walishiriki katika mijadala ya zamani ya umoja wa Mataifa kuhusu kuenea kwa silaha za nyuklia, jibu ni ndiyo – pamoja na kwamba siyo muhimu kwa sababu zilizotarajiwa.

NIGERIA : Hakuna Kampuni ya Mafuta Itatambua Amani Katika Vikundi
Sam Olukoya
YENAGOA, Feb 1 (IPS) - Vituo vitatu vya mafuta katika ukanda wenye mafuta mengi wa Niger Delta ilibidi vifungwe baada ya bomba la mafuta kuhujumiwa, kulingana na shirika la mafuta la Kiholanzi la Shell.

TANZANIA : Mabadiliko ya Hali ya Hewa Yanashambulia Kutoka Pande Mbili
Na Marko Gideon
DAR ES SALAAM, Jan 31 (IPS) - "Mabadiliko ya hali ya hewa ni halisi na yana athari kubwa kwa binadamu," alisema Waziri wa Nchi Katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk Batilda Burian alipokuwa akizindua Ripoti ya Hali ya Idadi ya Watu Duniani 2009, jijini Dar es Salaam Novemba 18 mwaka jana.

HAKI-UGANDA : Wageni Katika Nchi Yao
Evelyn Matsamura Kiapi
KAMPALA, Jan 29 (IPS) - Kila wakati wa jioni kabla ya jua kuzama, Pepe Julian Onziema hufunga milango katika vyumba vyake kwenye jengo la kupanga ambavyo hutumia pamoja na mpenzi wake katika kitongoji cha Ntinda mjini Kampala, kutokana na kukosa uhakika kama ataiona siku inayofuata. Onziema ni shoga na anaishi kwa hofu ya maisha yake kwasababu ya kampeni ya kitaifa inayowaona mashoga kuwa wahalifu nchini Uganda

JUKWAA LA JAMII DUNIANI : Sierra Leone Inaona Fursa Zikipanda
Mohamed Fofanah
FREETOWN, Jan 29 (IPS) - Jukwaa la Kijamii Duniani lililofanyika mjini Nairobi mwaka 2007 liliwafanya wanaharakati wa Sierra Leone kujipanga kudai mambo kama vile nyumba, huduma za afya na uwajibikaji mkubwa kutoka serikalini. Hamasa hiyo haikudumu.

JUKWAA LA JAMII DUNIANI : Afrika Yaendelea Kuvutia
Stanley Kwenda anamhoji DAKARAYI MATANGA, Jukwaa Maalum la Kusini mwa Afrika
HARARE, Jan 28 (IPS) - Aina ya mshikamano wa kimataifa duniani kote ambao ulisaidia kukomesha ubaguzi wa rangi ni muhimu kuondoa upande wa Kusini wa dunia kutokana na kutawaliwa kiuchumi.

ZAMBIA : Acheni Halmashauri za Mitaa Ziamue
Lewis Mwanangombe
LUSAKA, Jan 28 (IPS) - Saa kumi alfajiri Idah Choolwe anaondoka kwenda kusaka maji. Kila wakati wa msimu wa ukame, anaondoka kabla jua halijachomoza kwenda mahali ambapo matone ya maji yanapatikana katika mto unaokauka. Umbali wa kilomita nane. Kila siku.

ZIMBABWE : Uhaba wa Maji Siyo Kikwazo kwa Wakulima wa Bulawayo
Na Busani Bafana
BULAWAYO, Jan 27 (IPS) - Mradi katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Zimbabwe, Bulawayo, unatumia kiubunifu "maji taka" kupunguza uhaba wa maji wakati huo huo ukisaidia kuwapatia wakazi chakula na kuendesha maisha yao.

AFYA : Chanjo ya Rotavirus Yaleta Mafanikio Afrika
Na Marguerite A. Suozzi
NEW YORK, Jan 27 (IPS) - Mipango ya chanjo mpya ya kuzuia virusi vya homa ya matumbo imeanza kuwa na matokeo chanya, na inaweza kuja kuzuia mamia kwa maelfu ya watoto kufariki dunia kwa mwaka, kulingana na ripoti mpya.

 

 

Next >>

 
 Latest News from Africa
News in RSS
BIODIVERSITY: Companies Push Hard to Halt Tuna Collapse
ETHIOPIA: Dam Critics Won't Go Away
ENVIRONMENT: Keeping Wetlands from Becoming Wastelands
UGANDA: Early Diagnosis of HIV Still Elusive
KENYA: Insuring Pastoralists Against Increasing Risks
EGYPT: Minimum Wage Not Enough
SUDAN: Bashir May Face Genocide Charges
KENYA: Victory for Anti-Abortion Lobby
POLITICS-SUDAN: Security Essential to Ensure Peaceful Elections
NIGERIA: No Oil Company Will Know Peace in the Creeks
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
OUGANDA: : Le Diagnostic précoce du VIH flotte toujours
DESARMEMENT: Une approche unifiée nécessaire pour le désarmement nucléaire
SANTE-RWANDA : Laisser son bébé pour conserver son emploi
ECONOMIE : Des avis mitigés sur l'accession du Congo au PPTE
SANTE-RD CONGO : Rigueur et primes améliorent la qualité des soins
A lire également >>