Inter Press Service News Agency
Saturday, July 04, 2009 02:03 GMT
Subscribe !
Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal
Homepage
World Service
East Africa
Southern Africa
West Africa
Central Africa
Environment
Health-HIV/AIDS
Education
Rights
Politics
Economics
and Finance
Development
Energy
Population
Culture
Radio Service
Français
About IPS
ENGLISH
ESPAÑOL
FRANÇAIS
SVENSKA
ITALIANO
DEUTSCH
SWAHILI
NEDERLANDS
ARABIC
TÜRKÇE
SUOMI
PORTUGUÊS
JAPANESE
DR-CONGO : Askari Wanaoungwa Mkono na Umoja wa Mataifa Wakiuka Haki za Raia, Inasema HRW
Marina Litvinsky
WASHINGTON, Julai 2 (IPS) - Vikosi vya askari wa Kongo wanaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa wanaoongoza oparesheni za kijeshi mashariki na kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameshindwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na waasi na badala yake wanashambulia na kuwabaka raia wa Kongo, Human Rights Watch (HRW) ilisema Alhamisi.
LIBERIA : Meya Mwenye Utata Awa Gumzo la Mji
Rebecca Murray
MONROVIA, Julai 1 (IPS) - Myaha Johnson anakaa na familia yake chini ya kivuli kisichokuwa na uimara kilichojengwa na plastiki nyeusi, huku akiangalia kwa kukata tamaa kiti kilichobakia katika mahali yalipokuwa makazi yao. Mary Broh, meya mwenye utata wa mjini Monrovia, ndiyo tu amemaliza kusafisha vitongoji na kikundi kazi chake, na kuharibu kabisa nyumba za makazi katika barabara ikiwa ni pamoja na nyumba zao.
UCHUMI-UGANDA : Wakati Bei Zikipanda Wafanyabiashara Wanashuka Chini
Wambi Michael
KAMPALA, Julai 1 (IPS) - Wakati uchumi wa dunia ukikabiliwa na tatizo la mgogoro wa kifedha, wafanyabiashara na walaji nchini Uganda wanapambana na mfumo wa bei na kushuka kwa thamani ya fedha ya nchini humo, shilingi ya Uganda, dhidi ya dola. Waagizaji bidhaa nje hawajaweza kuingiza bidhaa ambazo ziliagizwa wakati bei zilipokuwa chini.
AFYA-SENEGAL : Waathirika wa Fistula Waachwa Wenyewe
Koffigan E. Adigbli
DAKAR, Juni 30 (IPS) - Katika kanda ya Kusini mwa Senegal, asilimia 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, kulingana na maofisa wa afya ya uzazi wa Kolda, mji uliopo kilomita 425 kutoka mji mkuu wa Dakar. Wanawake katika kanda hiyo wanaugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa.
AFRIKA KUSINI : Kijana, Ana Elimu na Hana Ajira
Na Miriam Mannak
CAPE TOWN, Juni 30 (IPS) - Uhaba wa ajira miongoni mwa vijana nchini Afrika Kusini iko katika asilimia 30, na kufikia asilimia zaidi ya 60 kwa vijana wenye umri kati ya utotoni na mapema miaka ya ishirini. Lakini elimu ya juu na maendeleo ya ujuzi inaonekana kutokuleta ufumbuzi kwa kile kinachoonekana kuwa mgogoro.
AFRIKA : Vifo Vya Uzazi, Maafa Ya Haki Ya Binadamu Uchambuzi
na Rosemary Okello na Terna Gyuse
BRUSSELS na CAPE TOWN, Juni 30 (IPS) - Haki ya upatikanaji wa kiwango cha juu cha afya: sio mtindo wa kisasa wa haki za binadamu, bali mipaka ya upatikanaji wa haki hizo za binadamu upande wa afya mara nyingi inagongana na mwendelezo wa ubaguzi kwa misingi ya madai ya kukua kwa uchumi na mapinduzi ya kisiasa.
KENYA : Ripoti Yadai Kulikuwa na Mauaji, Utesaji na Ubakaji Uliofanywa na Vyombo vya Usalama
Katie Mattern
WASHINGTON, Juni 29 (IPS) - Shirika la Human Rights Watch (HRW) linatoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wa haraka dhidi ya maafisa wa usalama nchini Kenya ambao ilisema walipelekwa kulinda raia katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi kwenye wilaya ya Mandera wakati wa zoezi la kupokonya silaha katika ukanda ambao una silaha nyingi mwezi Oktoba 2008, lakini badala yake waliwapiga na kuwatesa raia, kulingana na ripoti iliyotolewa Jumatatu.
BIASHARA : ECOWAS Kuchelewewa Kusaini EPA Kwairuhusu Ghana Kufikiria Upya
Francis Kokutse
ACCRA, Juni 29 (IPS) - Kuna dalili zinazopingana juu ya kama nchi za Afrika magharibi zitatia saini mikataba ya ushirikiano wa kiuchumi (EPA) na Umoja wa Ulaya, kwani tarehe ya mwisho ya Juni 30 imeahirishwa na washikadau wana maoni tofauti katika tarehe ya mwisho ya mwishoni mwa Oktoba. Hii inaweza kuruhusu Ghana kufikiri tena juu ya kusaini kwake EPA ya mpito.
SIASA-MISRI : Wanawake Wasaidiwa Katika Kugombea Ubunge
Cam McGrath
CAIRO, Juni 27 (IPS) - Misri ilimchagua mwanamke wa kwanza Mwarabu katika bunge mwaka 1957, lakini kwa kipindi cha nusu karne tangu wakati huo, taifa hilo maarufu zaidi katika ulimwengu wa Kiarabu limeondoka katika kuwa kiongozi kwenye ushiriki wa wanawake katika siasa na kuwa nyuma kabisa.
TANZANIA : Serikali Kuchunguza Madhara ya Kemikali za Mgodi Kuvujia kwenye Mto
*Na Marko Gideon
DAR ES SALAAM, Juni 27 (IPS) - Serikali ya Tanzania imesema itafanyia uchunguzi taarifa za madhara ya maji ya mgodi wa North Mara, unaomilikiwa na kampuni ya Barrick Gold Mine, kuvujia kwenye mto Tighithe na kusababisha madhara kwa binadamu, mifugo na mimea.
Next >>
RSS feed in Swahili
Latest News from Africa
DEVELOPMENT-KENYA: Fears Over New Land Deal
AGRICULTURE: Biotechnology: Africa Must Not Be Left Behind
RIGHTS-AFRICA: AU Heeds Perpetrators Not Victims
POLITICS-BOTSWANA: Parties Block Women Candidates for Upcoming Elections
AFRICA: Civil Society to AU: Investment Must Address Marginalisation
KENYA: A Role For Men in Gender Equality
DR-CONGO: U.N.-Backed Troops Abusing Civilians, HRW Says
TRADE: Who’s Harming Fish Stocks? Trawlers or Artisanal Fishers?
LIBERIA: Controversial Mayor is Talk of the Town
ECONOMY-UGANDA: Traders Go Down as Prices Go Up
More >>
Dernières Nouvelles
AFRIQUE : La mortalité maternelle, une catastrophe des droits humains
KENYA : Dénoncer les cas de massacre, torture et de viol par des forces de sécurité
ENVIRONNEMENT-MALAWI : Des Eléphants hors de danger
BURKINA FASO : Renforcer les systèmes de santé pour mieux combattre la tuberculose
ENERGIE-RD CONGO : L’obscurité règne malgré les potentiels hydroélectriques du pays!
A lire également >>
Contact Us
|
About Us
|
Subscription
|
Help us Improve
|
News in RSS
Copyright © 2009 IPS-Inter Press Service. All rights reserved.