Rip & Read - Radio Service

Africa: Weak Laws and Capitalist Economy Deplete Kenya’s Natural Wealth
NAIROBI - A significant number of small-scale farmers in Kenya have taken to commercial farming in water catchment areas due to scarce land and water.

Africa: Informal Carpentry Hammers Away Zimbabwe’s State Revenue
HARARE - Informal carpentry is becoming a fast-growing industry in Zimbabwe with over 18 thousand people currently engaged in informal carpentry in Harare alone, according to the Informal Woodworkers’ Association.

Africa: South Sudan Dictates Media Coverage of Conflict
JUBA - The South Sudanese government has been accused of clamping down on local media in an attempt to influence the reporting on the conflict in the country.

Africa: Zimbabwe’s Urban Farmers Risk Losing Their Harvests
HARARE - Urban farmers in Zimbabwe’s second city, Bulawayo, may or may not see the flourishing crops they farmed on vacant pieces of land turn into a harvest.

Africa: Trauma Still Fresh for Rwanda’s Survivors of Genocidal Rape
KIGALI - As Rwanda marks 20 years since the genocide, women who were victims of rape and conceived children as a result are among those who live daily with the consequences and trauma.

Africa: Africa’s Second Female President Confident of Election Win
LILONGWE - As Malawi heads for the 20 May elections, President Joyce Banda is confident she will be elected to a second term.

Africa: Cote d’Ivoire’s Tech Solutions to Local Problems
ABIDJAN - Technological innovators in Cote d’Ivoire are developing homegrown solutions to local problems, including birth registration and tracking devises to ensure personal safety.

Afrika: Kuokoa Raia wa Cameroon kutokana na Afya Mbaya
CAMEROON - Serikali ya Cameroon imeanza msako wa madawa na maduka ya madawa feki na ina mipango ya kuvifungia vituo vya mafunzo ya afya zaidi ya 524 na kliniki binafsi 600 kutokana na kufanya kazi kinyume na sheria za nchi.

Afrika: Mabadiliko ya Tabia Nchi Yahatarisha Kusababisha Magonjwa Tanzania
DAR ES SALAAM - Wakazi katika maeneo ya mabondeni katika jiji kubwa kuliko yote la Dar es Salaam, nchini Tanzania, wako hatarini kuambukizwa magonjwa kwa njia ya maji wakati wa mvua kubwa katika jiji hilo.

Afrika: Kuongezeka kwa Taka za Kielektroni Nchini Zimbabwe ni Hatari
HARARE - Taka za kielektroni nchini Zimbabwe zinakuwa janga la kimazingira linaloibukia kwa mujibu wa Steady Kangata, meneja elimu na uenezi wa Shirika la Kusimamia Mazingira.

Afrika: Benki ya Dunia Yapitisha Mradi wa Bwawa wenye Utata Nchini Kongo
WASHINGTON - Benki ya Dunia imepitisha msaada wa dola milioni 73.1 kusaidia mradi mkubwa wa bwawa la kuzalisha umeme ambao umezua utata katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Duniani: Kuikubalia Ethiopia, Ni Kukubalia Kupoteza Imani ya Shirika la Kupigania Uwazi
WASHINGTON - Shirika la Kupigania Uwazi katika Sekta ya Madini (EITI), ambalo lina makao yake mjini Oslo, limekuwa na wakati mgumu wa kukosolewa kutokana na kukubali maombi ya Ethiopia, pamoja na kuwekewa pingamizi la kisheria na mashirika ya kiraia nchini humo.

Afrika: Wanamitindo Wanawake Ethiopia Watumia Mila Kukuza Mauzo
ADDIS ABABA - Ubunifu wa mitindo unaonekana kuwa moja ya sekta zenye mafanikio zaidi nchini Ethiopia kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, na kuzalisha faida ya kati ya asilimia 50 hadi zaidi ya asilimia 100, anasema mwanamitindo Mahlet Afework.

Duniani: Pepsi Yaahidi Kupigania Haki ya Ardhi
WASHINGTON - PepsiCo, kampuni ya pili kwa ukubwa duniani katika kutengeneza vinywaji baridi na chakula, imekubali kubadilisha sera zake za muda mrefu kuhusu haki ya ardhi, na kuanzisha miongozo mingi mipya na kuahidi kuwepo kwa uwazi katika mzunguko wake mzima wa usambazaji duniani.

Duniani: Wanasayansi wa Marekani Wazindua Kampeni ya Kuamka Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi
WASHINGTON - Chama cha Sayansi ya Juu cha Marekani kimetoa onyo kuwa dunia ipo hatarini kuufanya mfumo wa tabia nchi kubadilika kiasi kwamba usiweze kurejeshwa tena katika hali yake ya kawaida kutokana na kuharibiwa kwa kiasi kikubwa.

Duniani: Kuwa Jela Kutokana na Kuwa Kijana, Maskini na Kuvaa Kofia
CÓRDOBA - Kuwa kijana, mwenye ngozi nyeusi, maskini na kuwa na tabia ya kuvaa kofia kunaweza kukufanya kukamatwa kama mtuhumiwa wa uhalifu katika jimbo la Córdoba nchini Argentina.

Afrika: Mgogoro wa Usalama wa Wakimbizi Afrika Magharibi
ABIDJAN - Mgogoro wa kisiasa nchini Mali na Ivory Coast umesababisha kuongezeka kwa idadi ya wakimbizi katika Afrika Magharibi.

Afrika: Wanawake Wageuza Viazi Mviringo Kuwa Dhahabu katika Majiji ya Zimbabwe
HARARE - Maelfu ya wanawake wa Zimbabwe katika maeneo ya mjini wamegundua dhahabu kwa kupanda viazi mviringo kutokana na kupigwa marufuku ya kuagiza nje vizri hivyo.

Afrika: Afrika Kusini Yakabiliana na Kifua Kikuu Sugu
JOHANNESBURG - Afrika Kusini inakabiliwa na mzigo wa ugonjwa sugu wa Kifua Kikuu (TB), huku kukiwa na pengo kubwa kati ya wagonjwa waliogundulika na kifua kikuu sugu (MDR-TB) na wale ambao bado hawajaanza tiba.

Afrika: Kuimba Nyimbo Mpya za Kufokafoka Nchini Uganda
KAMPALA - Kipindi cha habari nchini Uganda, ambako udhibiti wa vyombo vya habari unazuia watu kupata taarifa, kinatarajiwa kuvutia mashabiki kupitia nyimbo za kufokafoka.

 

 

Next >>