IPS Inter Press Service - Independent News
   Inter Press Service News Agency
Thursday, May 17, 2012   08:58 GMT    
   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   ČESKY
   DEUTSCH
   ITALIANO
   JAPANESE
   MAGYAR
   NEDERLANDS
   POLSKI
   PORTUGUÊS
   SRPSKI
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
Readers Opinions

Vyoo ni Muhimu Kuwafanya Watoto Kubakia Shuleni katika Sudan Kusini
Na Andrew Green*
JUBA, Mei 8 (IPS) - Kabla Shule ya Msingi Bor B haijajenga vyoo katika mazingira ya shule miaka miwili iliyopita, wanafunzi waliondoka shule katika kipindi cha kwanza cha mapumziko kurudi nyumbani. Wengi wao hawakurejea tena hadi asubuhi iliyofuata.

Mauritania
Hatua Ndogo za Kutokomeza Tohara kwa Wanawake
Na Mohamed Abderrahmane
NOUAKCHOTT, Mei 8 (IPS) - Mkakati mkali wa kukomesha tohara kwa wanawake nchini Mauritania unaleta mafanikio ya polepole, pamoja na kwamba wanaharakati wanatambua bado kuna mambo mengi ya kufanyika katika taifa ambalo theluthi mbili ya wasichana wamefanyiwa tohara.

GHANA
Akina Baba Wapambana Kuwaokoa Watoto Wao wa Kike Kutokana na Tohara
Na Jonathan Migneault na Berlinda Chochoe Nortey
ACCRA, Mei 8 (IPS) - Wakati Jack Sabadgou alipoondoka nchini Ghana kwenda Uswis miaka 10 iliyopita, aliacha mtoto mchanga wa kike nyuma ili aweze kulelewa na mama yake. Sasa anahitaji kuishi na mtoto wake, na mwanaume huyo anaona muda haumtoshi kumwokoa mtoto wake kutumbukia kwenye mila zilizopigwa marufuku za tohara kwa wanawake na watoto wa kike.

TANZANIA
Ufugaji Viumbe Bahari, Muhimu Kuongeza Kipato, Kutunza Mazingira
Marko Gideon
BAGAMOYO, Mei 7 (IPS) - Kwa miaka mingi wakazi wa pwani wamekuwa wakitegemea zaidi kujipatia kipato na chakula kutokana na kuendesha shughuli za uvuvi aidha katika mabwawa au kwenye Bahari ya Hindi. "Lakini kutokana na kuongezeka kwa watu samaki wamepungua kwa kiasi kikubwa katika bahari na katika mabwawa ya asili na mahitaji yamezidi kuongezeka," alisema Mkurugenzi wa Mradi wa Pwani wa Mpango wa Kusimamia Mazingira na Rasilimali za Pwani (TCMP – Pwani), Baraka Kalangahe.


Kuokoa Maisha ya Akina Mama katika Sudan Kusini
Na Andrew Green*
JUBA, Mei 7 (IPS) - Martha Borete Angela ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika programu ya wakunga wa jadi katika Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Sudan Kusini.


Dharula Iliyosahauliwa katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan
Na Jared Ferrie
JAMAM, Sudan Kusini, Mei 7 (IPS) - Hamid Yussef Bashir alisema alitembea kwa siku 17 na mke wake na watoto watano ili kufika katika kambi ya wakimbizi katika Sudan Kusini. Walipofika Jamam, waliungana na watu wengine wapatao 37,000 ambao walikimbia vita na hivyo kuwafanya kuvuka mpakani katika jimbo la Blue Nile nchini Sudan. Mazingira ya kambi ya wakimbizi hayafai, alisema. Kuna uhaba wa maji safi na familia yake inabidi kuhamisha kibanda chao kabla mvua haijaanza kunyesha na mafuriko kulikumba eneo waliloweka kambi. Lakini walikuwa na bahati kuweza kusafiri salama hadi hapa.

Njaa Nchini Chad
Wanawake Wavunja Vichuguu Kutafuta Nafaka Zilizohifadhiwa na Mchwa
Na François Djekombé
N’DJAMENA, Mei 7 (IPS) - "Ni Mungu tu anayejua nini kinatokea kwangu mimi na watoto – kwa miezi miwili hatukuwa na kitu cha kula. Tunaishi kama ombaomba," Henriette Sanglar, mama wa watoto wanne katika majengo ya makazi ya Moursal kwenye mji mkuu wa Chad, N’Djamena, aliiambia IPS.


Watoto wa Ivory Coast Waishi kwa Hofu
Na Kristin Palitza
ABIDJAN, Aprili 23 (IPS) - Kundi la watoto wanaocheza katika eneo la wazi kwenye mji maarufu kibiashara wa Ivory Coast wa Abidjan wanaonekana kutokuwa na uangalizi. Lakini gari linapotoa ngurumo mkali na kutoa moshi, wanatetemeka. Wakati askari wanapotembea kupita eneo hilo, wanatetemeka. Na wanaonekana kuwa na hofu wakati mtu mzima anapowasogelea.


Jukwaa la Maji Duniani Lasema Mabwawa Makubwa ‘Siyo Endelevu’
Na Cléo Fatoorehchi
MARSEILLE, Ufaransa , Aprili 23 (IPS) - Mashirika kadhaa yasiyokuwa ya kiserikali yalitumia Jukwaa la Maji Duniani (WWF) lililofanyika mjini Marseille wiki iliyopita kama fursa ya kukumbusha jumuiya ya kimataifa kuhusu madhara makubwa ya mabwawa makubwa duniani kote.


Maji Yanapokauka Katika Mabomba ya Mauritius
Na Nasseem Ackbarally
PORT-LOUIS, Apirili 23 (IPS) - Rani Murthy, mfanyakazi wa serikali anayeishi Plaines Wilhems, katikati mwa Mauritius, anaamka saa tisa usiku kusubiri maji ya gari kutoka Mamlaka ya Maji kuweza kupata maji ya kupikia na shughuli nyingine za nyumbani.

 

 

Next >>

 








 Latest News from Africa
News in RSS
Despite Economic Growth, Food Insecurity Lingers in Africa
Less Politics, More Economic Development
Deserting Refugees in the Sahara
"Not a Famine, but an Issue of Food Insecurity"
Q&A: Women Farmers Are Key to a Food-Secure Africa
Major Effort to Reduce Child Mortality Not Enough
Africa's Two Female Presidents Join Forces for Women
Q&A:: Water Infrastructure Falls Far Short in Southern Africa
Egypt-Israel Gas Issue Becoming Explosive
Hope Dwindles Ahead of Elections in Algeria
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
Q&R: Les femmes agricultrices comptent dans la sécurité alimentaire en Afrique
CAMEROUN: Des fermiers résistent aux faibles précipitations
SANTE: Le cancer, une maladie qui décime la femme africaine
CUBA: Etendre l’éducation sur le climat dans le pays
DEVELOPPEMENT: Le Brésil scelle une alliance stratégique avec l’Afrique
A lire également >>